Vipashio vya Habari:
Home » , » AWAMU YA PILI: MAJINA YA FORM SIX NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA JKT

AWAMU YA PILI: MAJINA YA FORM SIX NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA JKT

Written By Ahmada Mwariko on Sunday, June 23, 2013 | 12:24 AM


JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA 2013 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KATIKA MAKAMBI YA RUVU PWANI, MGAMBO TANGA, MSANGE TABORA, BULOMBORA KIGOMA, MARAMBA TANGA, RWAMKOMA MARA, MLALE RUVUMA NA KANEMBWA KIGOMA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI HAYO TAREHE 24 JUNI 2013 KAMA ILIVYOTANGAZWA AWALI.

VIJANA HAO WARIPOTI KATIKA MAKAMBI WALIYOPANGIWA KAMA ILIVYOONYESHA KATIKA TOVUTI YA JKT WWW.JKT.GO.TZ. 

ATAKAYERIPOTI KAMBI AMBAYO HAKUPANGIWA HATAPOKELEWA. VIJANA HAO WALIPOTI WAKIWA NA VYETI VYA LEAVING VYA KIDATO CHA NNE AU CHA SITA KWA UTHIBITISHO.

INASISITIZWA KUWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA NI LAZIMA, ATAKAYESHINDWA KURIPOTI ATAKUWA AMEVUNJA SHERIA NA ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA

VIJANA WATUNZE TIKETI ZAO WALIZOTUMIA KWENDA KATIKA MAKAMBI YA JKT. NAULI ZAO ZITAREJESHWA NA JKT WATAKAPORIPOTI KAMBINI.

VIJANA WALIOCHAGULIWA KATIKA AWAMU YA PILI NI WALE WALIOFAULU KWA DIVISION I, II NA BAADHI YA DIVISION III MCHEPUO WA SAYANSI.

VIJANA WA KIDATO CHA SITA 2013 AMBAO MAJINA YAO HAYAKUORODHESHWA KATIKA TOVUTI HIYO, WATAJIUNGA NA JKT AWAMU YA TATU MWEZI SEPTEMBA 2013.Kwa taarifa zaidi (imenukuliwa kutoka): JKT.go.tz

bulombora.pdf
File Size: 826 kb
File Type: pdf
Download File


kanembwa.pdf
File Size: 674 kb
File Type: pdf
Download File


maramba.pdf
File Size: 342 kb
File Type: pdf
Download File


mgambo.pdf
File Size: 810 kb
File Type: pdf
Download File


mlale.pdf
File Size: 729 kb
File Type: pdf
Download File


msange.pdf
File Size: 1262 kb
File Type: pdf
Download File


ruvu.pdf
File Size: 903 kb
File Type: pdf
Download File


rwamkoma.pdf
File Size: 569 kb
File Type: pdf
Download File

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Jicho La Habari Enhanced by Ahmada Mwariko
Share habari hii kwa wadau :
Like Facebook Page yetu hapa
×
bloggerWidget

FOLLOW ME ON G+

Follow Us On Twitter

UNGANA NASI HAPA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu Ungana nasi sasa hujachelewa Bonyeza hapo juu, au Sajili email yako hapo chini.

VIEWERS

Don't Forget To Join US Our Community
×
bloggerWidget

Follow Me

Followers

 
Support : Jicho La Habari | Ahmada Mwariko
Proudly powered by Jicho La Habari
Copyright © 2013. jicho la habari - All Rights Reserved
WEB DESIGNER  AHMADA INC
Designed and modified by Ahmada Mwariko